Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Bei? Nani wa kuwasiliana nae? Namba yake ya simu? Kuna picha zake?Kuna nyumba kijitonyama.
- maji yapo sana
-umeme ni luku yako-
-3 bed rooms, moja ni master
-vyoo viwili vya public
-sebule
-jiko
-chumba cha kujisomea
-fance
KANIKI,Nyumba ya kupanga inahitajika Dar es salaam Tanzania maeneo ya Mikocheni, Mbezi beach, Bahari beach, Kunduchi, Kijitonyama. Bei maelewano kama ilivo hali halisi Dar. Nyumba iwe na yafuatayo:
Iwe tayari kuhamiwa Julai 2009. Mawasiliano hapa hapa serious offers through PM
- Vyumba visivyopungua vitatu vya kulala
- Maji ya uhakika
- Fensi na parking ya walau gari moja
- Ifikike bila shida wakati wa mvua
- Usalama (low crime area/street)
Thanks JF
Kuna nyumba kijitonyama.
- maji yapo sana
-umeme ni luku yako-
-3 bed rooms, moja ni master
-vyoo viwili vya public
-sebule
-jiko
-chumba cha kujisomea
-fance