Wanajamii,
Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge, Msasani, Kinondoni, Kawe au Kigamboni. Iwe ya vyumba viwili vya kulala, siting room, bafu, choo na Jiko fesi na mahali pa kulaza gari. Gharama isizidi sh. 250,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa mwaka mzima.
Tafadhali kama unafahamu naomba unitumie email through my PM