Nyumba ya kupanga inahitajika

Gudboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
867
Reaction score
82
Nahitaji nyumba ya kupanga iwe ina chumba kimoja (master) na sitting room, jiko na luku yake (kama inawezekana). Iwe maeneo ya Kijitonyama na Science, kodi isizidi laki moja (100,000) kwa mwezi, malipo ni kwa miezi 6 au 12. Iwe na vyumba vikubwa pia iwe na maji. Nahitaji kuhamia mwezi wa 7. kwa mawasiliano zaidi ni 0712 202320
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…