Nyumba ya kupanga inahitajika

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
SIFA ZAKE ZIWE KAMA IFUATAVYO.
1. Iwe na vyumba vinne vya kulala, vyumba hivyo viwe vipana vya kadri kiasi kiasi cha kuweka kitanda cha sita kwa sita. Na ikiwa ina vyumba vitatu basi pawepo na nyumba ndogo ya ziada pembeni.
2.Iwe maeneo yeyote Dar es Salaam, isipokua Tegeta au katika eneo lenye msongamano mkubwa wa raia, maeneo ya Mbezi Beach, kawe, Tabata, Chang'ombe, yatapewa kipaumbele
3. Bajeti shs 1mil(milioni moja tu).
Ikiwa unayo nyumba hiyo tuwasiliane kupitia nambari za simu zifuatazo
0717114409, 0755312233 au 0784225000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…