Nyumba ya laki tatu haina parking?
kweli mkuu wilaya ya temeke nyumba bado nafuu sanaBelo unashangaa nyumba yalaki tatu kukosa parking?we vukabarabara kidogo tu toka hapo savei opposite na mliman city barabara ya samnujoma yaan sinza A na uone nyumba yalaki tatu ilivyo.ni chumba kimoja master sebule na jiko.ukiwa na gari utajijua mwenyewe.
ukweli gharama ya nyumba inawaumiza sana watu wengi siku hizi .wakat mwingine ni bora ukapange mtongani