Nyumba nzima inapangishwa maeneo ya mbagala sabasaba nyuma ya Tayma hospital mita10 kutoka stend ya mwendo kasi na kituoni
Sifa ya nyumba
1. Nyumba ina vyumba 6
2. Vyumba vya kulala 3 kimoja ni master
3. Vyoo na bafu ni vya ndani
3. Jiko 1
4. Sebule moja kubwa
5. Maji na umeme unajitegemea hautashare na mtu yoyote
6. Ulinzi wa mageti wawili mbele na nyuma upo
Kodi ni laki 3 kwa mwezi @kwa miezi 6 au chini ya hapo tutasaidiana.