nyumba ya kupanga tegeta nyaishozi

nyumba ya kupanga tegeta nyaishozi

candygrapez

Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
12
Reaction score
3
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko mkoani Shinyanga ambako ndiko ninaishi kwa sasa,na sina uzoefu na upangaji/upangishwaji wa nyumba kwa mji wa Dar, ninachoomba kuuliza ni nyumba kama hii ina master bedroom kubwa tu ya kutosha,vyumba viwili vya kulala na choo,jiko,na stoo ndogo,uwanja wa wastani pamoja na fensi na geti,furniture ananunua mpangaji kwa mitaa hiyo naweza nikaambulia kama pango la shilingi ngapi kwa mwezi/mwaka?
na madalali wa uhakika naweza nikawapata wapi?
Ahsante.
 
wewe wataka kiasi gani????
ndugu The Boss kama nilivyojieleza hapo juu sina uzoefu na bei za nyumba huko tegeta ndio maana nimeomba elimu hiyo kwa wana jamii wanijuze, unahitaji kupangishwa mzee?
 
ndugu the boss kama nilivyojieleza hapo juu sina uzoefu na bei za nyumba huko tegeta ndio maana nimeomba elimu hiyo kwa wana jamii wanijuze, unahitaji kupangishwa mzee?

nahitaji nyumba tegeta
 
nahitaji nyumba tegeta
ok ww uko tayari kwa kiasi gani?
nahitaji kufanya research kujua japo range ya bei kwa maeneo hayo ili kuwa relistic zaidi,but if you are interested tunaweza kufanya majadiliano zaidi hata kwa njia ya simu.
karibu
 
Back
Top Bottom