wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habari za wakati Wana JF Jamani mwenzenu naomba msaada wa nyumba ya kupanga Maeneo ya kunduchi au sehem nyingine ila pawe na umeme na maji nna Usafiri wa daladala za kwenda makumbusho.Pia iwe na gharama nafuu za umeme,Nahitaji chumba na sebure Bajeti yangu ni 125000/= Namba yangu whatsapp 0757796706