K Kyindokyakombe Member Joined May 1, 2012 Posts 95 Reaction score 96 Jul 18, 2012 #1 Nyumba ya kupanga inapatikana ARUSHA MJINI maeneo ya DARAJA 2 ni self contained,ina MAJI,UMEME PIA INA jiko.Bei ni maelewano.Mawasiliano 0786164042
Nyumba ya kupanga inapatikana ARUSHA MJINI maeneo ya DARAJA 2 ni self contained,ina MAJI,UMEME PIA INA jiko.Bei ni maelewano.Mawasiliano 0786164042
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,615 Reaction score 545 Jul 19, 2012 #2 Draja 2 vibaka siku hizi wamepungua??
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,690 Jul 19, 2012 #3 Bushbaby said: Draja 2 vibaka siku hizi wamepungua?? Click to expand... Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2:
Bushbaby said: Draja 2 vibaka siku hizi wamepungua?? Click to expand... Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2:
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,615 Reaction score 545 Jul 19, 2012 #4 Kimbweka said: Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2: Click to expand... Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days
Kimbweka said: Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2: Click to expand... Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,690 Jul 19, 2012 #5 Bushbaby said: Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days Click to expand... Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko......
Bushbaby said: Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days Click to expand... Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko......
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,578 Reaction score 7,774 Jul 19, 2012 #6 Kimbweka said: Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko...... Click to expand... Igwe like this.....
Kimbweka said: Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko...... Click to expand... Igwe like this.....