House4Rent Nyumba ya kupangisha Boma Ngombe Mjini

House4Rent Nyumba ya kupangisha Boma Ngombe Mjini

dodomao

Member
Joined
May 22, 2017
Posts
58
Reaction score
76
Nyumba ya kupanga yenye uzio wa ukuta,umeme ,maji na vyumba vitatu vyote master bed room inapangishwa Boma Ngombe karibu na chuo cha ufundi st Joseph mazungumzo yapo
Piha namba 0715407588

IMG_1981.jpg

IMG_1975.jpg
 
Kodi ni kiasi gani? Ila lipwa kwa muda gani(miezi mingapi?)
 
Back
Top Bottom