Mkereketwa
JF-Expert Member
- May 19, 2007
- 202
- 25
ipo moja hapa sinza vaticani ina vyumba vitatu, sebule jiko. choo na bafu viko nje, fensi na paking ipo. sh 200,000 kwa mwezi. kodi ya mwaka inahitajika.
Vipi suala la maji? umbali kutoka barabarani? na kodi anaweza kupokea ya miezi sita?Ipo moja maeneo ya kimara mbele kidogo ya vyumba vi8.
It's a 3bedrooms self contained(one master bdrm), kitchen, store, dinning, sitting. Floor tiles kote, fence, parvements etc. Ni mpya. Dau ni zaidi kidogo ya utakayo; it's 300 kwa mwezi. - kama unaitaka email me at solutionartz@yahoo.com
Ipo moja maeneo ya kimara mbele kidogo ya vyumba vi8.
It's a 3bedrooms self contained(one master bdrm), kitchen, store, dinning, sitting. Floor tiles kote, fence, parvements etc. Ni mpya. Dau ni zaidi kidogo ya utakayo; it's 300 kwa mwezi. - kama unaitaka email me at solutionartz@yahoo.com
Natafuta nyumba kama hii kaka japo kimara sipapendi sana compared to survey na mwenge. Nitakutumia email unipe more info.
Du room 8 ishakuwa crib za masupa star wa marekaniIpo moja maeneo ya kimara mbele kidogo ya vyumba vi8.
It's a 3bedrooms self contained(one master bdrm), kitchen, store, dinning, sitting. Floor tiles kote, fence, parvements etc. Ni mpya. Dau ni zaidi kidogo ya utakayo; it's 300 kwa mwezi. - kama unaitaka email me at solutionartz@yahoo.com
Jamani mini nitaomba contact zenu wale ambayo wanacontacts za hizi nyumba zakupangisha. Mimi natarajia kuanza kutafuta mwezi wa pili. Natafuta nyumba ambayo ina vyumba viwili, sebule, jiko, choo na bafu ndani, ikiwa fenced itakuwa bomba. Na iwe karibu na barabara. Maeneo - K"nyama - First choice, Msasani, Makumbusho, Mwenge, Sinza na Kinondoni. Budget 280,000 na ikiwezekana kulipa miezi 6 kwanza... fresh.. Asante