Nyumba ya kupangisha ipo Kinyerezi Mbuyuni, sitaki madalali

ADESIGN

Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
32
Reaction score
28
Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani.

Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6

Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika unaetaka kukodi ndio upige hii namba :
Mwenye nyumba : 0684101707
 
Kapicha basi.
Huku kinyerezi kuna chuo chochote cha karibu na hizo nyumba?
 
Safi sana tupa kule madalali.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Halazimishwi mtu kupanga hapo.. ni uamuzi wake, mimi nasaidia kwa wale wasiokua na hela ya udalali, kwangu awepo dalali asiwepo vyote sawa, faida anapata huyo atakayepanga
Kodi 450K alafu asiwe na ya udalali?
 
Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani.

Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6

Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika unaetaka kukodi ndio upige hii namba :
Mwenye nyumba : 0684101707
Picha, tutajuwaje kama ni nyumba ya maana kweli? Tuanze na picha kwanza, mengine baadaye.
 
Back
Top Bottom