Nyumba ya milion 125

pongezi zake kwa kujenga. kwani kuna wa2 wanazeeka hata kibanda hawana na uwezo wa kujenga wanao.
 
Shillingi milioni 125 kwa hesabu za haraka sijui kama zimefika a hundred thousands dollars.
Bado ni nyumba ya thamani ya kawaida sana. Hata hivyo amejitahidi sana kuliko hao
bongo fleva wengine,wanaomaliza hela zao zote kwenye gambe na cocaine,mwisho wanakuwa
vichaa.
 
Hata kama haijafika 125m...anastahili pongezi!
 
kajitaidi sana pongezi kwake
 

Kwa nini ulinganishe na $? Huu ni ukoloni wa mawazo hata kama unaishi abroad sijui wapi why uingize $ hapa? Ujanja ukizid sana ni ushamba.

Mi naona sio ya kawaida kajitahidi sana tu wangapi wanaopata pesa za halali na wanajenga 125m? Wizi rushwa ndio zinafanya watu mdharau pesa za wengine. Umeniudhi na kauli yako hiyo basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…