Hivi mtunis alitumia kinga pale???
Ngoja nikae kimya tu maana niliandika comments mara mbili zote zikanyofolewa!
Tena kaunguzwa na Jamaa mmoja anaitwa Adolph tapeli wa kuuza magari,tapeli wa kuibia wachina, muuza tanzanire fake kila kitu fake adi gold adi coper lakini Ana hela na ameungua
Ohooo! Hili mbona nimewahi kulisema sana huku?
Chukua tahadhari mkuu, maana una bahati baada ya 1st Sept haya mambo hatutaweza tena kuyajadili.
Na lile banda la kuku la diamond natamani nalo liungue CCM watawajengea
Wewe acha tu binamu, hizi ni habari za uhakika zisizo hata na chembe ya shaka.
Bibie anatumia minjingu pale alipo, tamaa ya maisha ndio inayopelekea yote hayo.
Kaungua long time batuli,Hamna kitu hapo
Hakaf ukimuona utadhan anasingiziwa umalaya
Hivi mtunis alitumia kinga pale???
Batuli kahamia kwa Wema.
Anavaa sare sare.
Wacha weee! Makubwa hayo.
Naona wanafarijiana vizuri, wafanye na hitma ya Kanumba wao kabisa.
Mwenzangu, wasifanye tu ile michezo yao mibaya ileee, maana hapa mtu ana chuma cha MOTO.
Asijemuunguza mama tOToo.
chama oyeeee!
Huyo Batuli ni msanii wa nini?
Kwani mama nae ni mzima sasa? Wee acha tu shoga haya mambo yanatisha!