Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Nataka kununua nyumba hii, mdau kaniambia Milioni 25.
Ina yafuatayo
√ Ina ukubwa wa SQM 100, + HATI.
√ Ni nyumba ya chini, sio ghorofa
√ Ina sakafu ya kawaida, haina tiles.
√ Ina vyumba viwili vya kulala, sebule, na choo ndani.
√ Madirisha ni ya kawaida, sio ALUMINIUM
√ Pia bati sio hizi za msauzi wala nyingine za garama sana, bali za kawaida hizi.
Je, wadau wa ujenzi, bei hio ni sawa, ?!
Karibu.