Mtaa gani? ungeweka picha ingesaidia.Nyumba ipo Babati mjini
Usijali karibu sana.samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
15m hadi 18m zaidi ya hapo unaibiwa,kimbiaNataka kununua nyumba hii, mdau kaniambia Milioni 25.
Ina maana
√ Ina ukubwa wa SQM 100, + HATI.
√ Ni nyumba ya chini, sio ghorofa
√ Ina sakafu ya kawaida, haina tiles.
√ Ina viwili vya kulala, sebule, na choo ndani.
√ Madirisha ni ya kawaida, sio ALUMINIUM
√ Pia bati sio hizi za msauzi wala nyingine za garama sana, bali za kawaida hizi.
Je, wadau wa ujenzi, bei hio ni sawa, ?!
Karibu.
Buku jeroNataka kununua nyumba hii, mdau kaniambia Milioni 25.
Ina yafuatayo
√ Ina ukubwa wa SQM 100, + HATI.
√ Ni nyumba ya chini, sio ghorofa
√ Ina sakafu ya kawaida, haina tiles.
√ Ina vyumba viwili vya kulala, sebule, na choo ndani.
√ Madirisha ni ya kawaida, sio ALUMINIUM
√ Pia bati sio hizi za msauzi wala nyingine za garama sana, bali za kawaida hizi.
Je, wadau wa ujenzi, bei hio ni sawa, ?!
Karibu.