πππ ya ujanani tayari ilikuwa na kila kitu cha ujanaSasa Mshana kwa umri huu bado unawaza your dream house?
Kweli uzee haujawahi kumwacha mtu salama
Haya legend kula pensheni lavishingly, usisahau pisi za kimakonde, zinajua kutreat wazee sana.πππ ya ujanani tayari ilikuwq na kila kitu cha ujana
Ya ukubwani tayari.. Ina kila kitu cha kuhimili majukumu ya familia na miundombinu karibu na huduma za jamii
Ya uzeeni bado.. Lakini itakuwa something very sweet for old agesπ
Ana umri gani kwani?Sasa Mshana kwa umri huu bado unawaza your dream house?
Kweli uzee haujawahi kumwacha mtu salama
Bwamdogo tu huyo tunataniana humuAna umri gani kwani?
Yah 40s nayo ni uzee siku hiziBwamdogo tu huyoπ
Nimeshangaa kaka πππππ
Kwani mzee mwenyewe hapendi kufia pazuri?Sasa Mshana kwa umri huu bado unawaza your dream house?
Kweli uzee haujawahi kumwacha mtu salama
Hunu muhimu brother