Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

Ni kweli , pengine alitaka mansion kama za nje, unakuta zipo msituni lakini ni za kisasa
Alifanya modifications ili iwe ya kipekee sana kakini hakupata wabunifu wazuri wanaoweza ku blend nature na usasa.. Chemistry ikagoma ku tally
 
Kama ile historia ya Mama mkwe ya kuyasha taa ukazima ,ukawasha tena ukazima na mwisho ukawasha na kuzima.

Vipi mtoto bado ni mzima ?
JF๐Ÿฅบ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿคฃ
Your browser is not able to display this video.
 
Hii kitu itapendeza ikiwa pale juu thame
 
Hayo mazingira yanapatikana mikoani, tena sehemu chache sana zilizobakia, make sure you own one
 
Ila hiyo design mmmh! mbona huo ni mtindo uliowahi kuwepo enzi hizo na ukapitwa na wakati. Sasa ww unataka kurudi huko tena?? Tahadhari: Vijana wako wanaweza kusema "dingi sasa anazingua - ona eti nayo hiyo anasema ndo nyumba inayoendana na wakati"
 
OK but inaelekea unajaribu kutengeneza tuhuma bila ithibati
Hamna mkuu nilikua na test mitambo tuu, Kwan weee ni huyo muhusika? Uliniuliza mtazamo wangu ndo nikatoa observations zangu which si uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ