Observations must be clear and genuine.. LA sivyo zinaweza kugeuka uzushi wa tuhuma bila ithibatiHamna mkuu nilikua na test mitambo tuu, Kwan weee ni huyo muhusika? Uliniuliza mtazamo wangu ndo nikatoa observations zangu which si uhalisia
Hakuna kipya duniani fasheni ni zilezile bali zinaenda na kurudi.. Save this post!Ila hiyo design mmmh! mbona huo ni mtindo uliowahi kuwepo enzi hizo na ukapitwa na wakati. Sasa ww unataka kurudi huko tena?? Tahadhari: Vijana wako wanaweza kusema "dingi sasa anazingua - ona eti nayo hiyo anasema ndo nyumba inayoendana na wakati"
Hapana mimi siwezi jua, na hata kama nikitaka kujua sitaweza..Observations must be clear and genuine.. LA sivyo zinaweza kugeuka uzushi wa tuhuma bila ithibati
Wazungu wamelia sana walijenga twa hivo kilicho wapata hawana hamu labda Jenga tu alafu ulinzi wa kutoshaYeah kakini unaangalia na location ya kujenga.. Tafuta level yako ama iliyokuzidi na si chini yake.. Hakuna rangi utaacha kuona!
Ama kweli hapo umenena! -nakubaliana na wewe 100%. Hata huku Africa wale elite wajanja wameshastukia mavyakula ya viwandani. Wanajiuliza mbona siku hizi sukari, presha, figo, moyo kutanuka na kwenda mbio, pingili kupishana n.k. UTI vimekuwa ndo wimbo......?....Hakuna kipya duniani fasheni ni zilezile bali zinaenda na kurudi.. Save this post!
Nani angeweza kuamini Leo hii organic foods ndio ghali ulaya huku junk foods za wazungu ndio usasa Africa?
Mungu ni mwema, atakupigania mkuu.Sahihi kabisa mkuu... Ila nahitaji kibali cha Mola wangu.. Maana wengi walitimiza hiyo ndoto lakini hawakuifaidi
Hii sijaelewa...hebu tupe maelezo ya hii
Imani za Kishirikina..!madai kwamba kamba zinazotumika kushushia jeneza kaburini zina "dili" kubwa upande wa pili (ikimaanisha kwenye uchawi au ushirikina), na kwamba ndugu wanapaswa kuwa macho ili zisichukuliwe.Hii sijaelewa...hebu tupe maelezo ya hii
Location YA NYUMBA NI murua kabisa YAANI utadhani IKO paradiso, ILA archicture YAKE NDIYO umeniangusha KABISA, KWENYE achtecture unastshili KUPIGWA faini KUBWA sanaNatamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili.
Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani.
Ni lengo langu kuu kufanya kazi kwa bidii na kwa maarifa ili siku moja nigeuze maono haya kuwa ukweli unaoshikika.View attachment 3614793
KWENYE achtecture unastshili KUPIGWA faini KUBWA sana😀 nimefanyaje😂Location YA NYUMBA NI murua kabisa YAANI utadhani IKO paradiso, ILA archicture YAKE NDIYO umeniangusha KABISA, KWENYE achtecture unastshili KUPIGWA faini KUBWA sana
You would better rephrase your tittle to LOCATION YA NYUMBA YA.......
NYUMBA IPO KWENYE LOCATION NZURI, SANA ARCHICTURE YA NYUMBA NI BOMU HAVIENDANI NA UZURI WA MAHALI ILIPOKWENYE achtecture unastshili KUPIGWA faini KUBWA sana😀 nimefanyaje😂
Ujumbe wako unachekesha ila huo ndio ukweli.Jua limeshazama tafuta pepo tu wakati uliobakisha