Nyumba ya tamthilia ya The simpsons nani anaratibu kuwa miaka ya mbele kutakuwa hivi na ni kweli!


Mkuu, kuna uwezekana ukawa unajua wapi naweza download series au hizo episode zooote za Simpsons nitulie niangalie one by one!?
 
Happenstances (Matukio) sio infinity..., yaani matukio huwa yanajirudia rudia sababu kuna limited amount of events...

Kwahio ukiwa na data za kutosha zinazoelezea vitu ni rahisi sana katika hayo yote baadhi yakatokea..., Hakuna cha ajabu hapo...
 
Mimi ninavyofahamu ni kwamba sanaa ni kioo cha mambo yanayotokea Kila siku,mfano hilo tukio la mmarekani mweusi kuuwawa na polisi mzungu,tukio hilo limejirudia,miaka ya 80 huko Marekani zilitokea vurugu kubwa sana kwenye baadhi ya miji kuna black man alikuwa ameuwawa na polisi mzungu kwa kuonewa,kwa hiyo huyo mchora katuni wa hizo katuni za Simpsons hakutabiri,alieleza kilichokwisha tokea na kinaendelea yaani bifu la wazungu na weusi lipo siku zote japo chini kwa chini,kuhusu Marekani kuwa na raisi kichaa bado haijatokea,labda kwa wale wasiompenda Trump watamwita kichaa,ila kiukweli bilionea yule si kichaa wala hana medical record yoyote ya ukichaa,kuhusu utabiri wa ugonjwa wa Corona riwaya kadhaa na filamu za kisayansi (science fiction) miaka ya nyuma zimewahi kuwa na stori ya namna hiyo inayoelezea dunia kukumbwa na gonjwa baya.
 
Kwahiyo unahisi corona ni gonjwa hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…