sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Katika nyumba niliyorithishwa niliamua kuipangisha kwavile shughuli zangu nafanya mbali na tayari nipo najenga yangu, kwahiyo niliamua niwapangishe wanafunzi wa chuo cha karibu.
I am so Disappointed, Nyumba imekuwa ni kama gesti bubu, wanafunzi wa hapo ni vijana wa kiume wana pepo la ugwadu, ni kubadilisha sana mabinti na kuna mchezo wa kuwaazima wenzao vyumba kwajili ya kusasambua.
Mwezi flani hapo niliwahi kwenda kupacheki ilikuwa ni siku ambayo wengi wamemaliza mitihani hivyo nilitaka kufatilia wale naowadai, Dah Jamani! Balaa nilokutana nalo si la kitoto, wao huiita pens down!! Yaani baadhi ya vyumba unapita unaskia kinachoendelea na ni mchana.
Vinara wa haya mambo ni wale hasa wa boarding waliotokea shule hizi za seminary
Lakini pia wavuta ndumu nao wapo hapo ni kero kwakweli.
Heshima ya nyumba imepungua sana, nimeona tu nipangishe wanafunzi wa kike tu.