House4Sale Nyumba ya vyumba 11 inauzwa Morogoro 35m

pmas

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
18
Reaction score
2
NNyumba iko Kihonda cheers karibu na godown za Kihonda Viwandani.
Ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa).
 
"ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa)". Fafanua hapo sijaelewa.!
 
Mbona haiendani na hiyo bei. 35m Tshs, labda enzi za wauza unga na wapiga dili serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…