kijanamakini
Senior Member
- Nov 2, 2010
- 118
- 15
Nyumba ya vyumba vitatu.
Ina store ya jikoni, ina dining area.
Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji.
Pia kuna heater za maji ya moto.
Hakuna udalali. Kodi 350,000/= (napokea ya miezi minne, tano au sita), kama unalipa ya miezi 8 mazungumzo yapo.
Video:
View: https://drive.google.com/file/d/1q3aqAsnI_ej_Bowu1rPj86lUcyJl0r9F/view?usp=sharing