House4Sale Nyumba ya vyumba 5 inauzwa Kinyerezi

House4Sale Nyumba ya vyumba 5 inauzwa Kinyerezi

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
-Nyumba ipo Kinyerezi mwisho 1.5 km kutoka barabara ya lami

-Ina vyumba vitano,viwili master,sebule,dinning,public toilet,jiko na stoo

-Ukubwa wa kiwanja ni sqm 700 ( 35 kwa 20)

-Pamepimwa lakini hakuna hati

-Haina ukuta

bei: mil 85 ( maongezi yapo)

Mawasiliano : 0765494548/0755079111

IMG-20210116-WA0002.jpeg
IMG-20210116-WA0000.jpeg
IMG-20210116-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom