Ipo mbezi kwa msuguli karibu na shule ya st Ann Marie.Ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo master,dining,sittingroom,public toilet,jiko.Kodi 200000 kwa mwezi,k odi y miez 6.Piga 0717373037
Kilomita kumi na tano na nusu???
Hiyo nyumba nzuri sana ila ningependa kujua miundo mbinu ikoje huko manake naona kidogo kuna ka-umbali kutoka barabara kuu
kama ipo karibia na shule ya st anne marie haiwezi kuwa km 15.5 kutoka morogoro road kwa sababu ni approx 2 Kms!subiria jibu la mwenyenyumba ila huo ndo ukweli.