House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi 30mil

House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi 30mil

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei)

30DA1644-1607-495A-9E7E-B27328B74CDF.jpeg
.Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji

• kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo
.
Call/WhatApp: 0758851175
30DA1644-1607-495A-9E7E-B27328B74CDF.jpeg
634F5D9E-3943-4CF9-993B-58F9445BAD1C.jpeg
86E8B328-2B06-4CCE-8621-D980DF192930.jpeg
CEB0513A-B25F-4D9B-B3E6-672FA7F757E5.jpeg
34CB1821-B9A7-497C-BE60-8D91895571B0.jpeg
6F7D458C-925D-451A-80C9-21B5EE64F77E.jpeg
 
Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 30,000,000

View attachment 1363625.Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji

• kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo
.
Call/WhatApp: 0758851175
Boss hiyo ni nyumba au boma ??weka picha za kutosha boss wangu.
 
Boss hiyo ni nyumba au boma ??weka picha za kutosha boss wangu.
we unasema ni boma wakati ni nyumba imekamilika kabisa labda uombe bei ipungue maana imefika stage ya mwisho ya nyumba ona hilo bati afu nenda ulizia bei dukani, kama huna pesa jombaa kaa kwa password chalii
 
Mbezi Msakuzi ni wapi? Umbali gani kutoka barabara kuu?
 
mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei mpaka million 26.
 
Kutoka morogoro road ni km 7, kutoka nyumba ilipo mpaka lami ilipo ni km 5,nyumba ipo karibu na rough road nayo ipo kwenye mpango wa kuwekewa lami
Mbezi Msakuzi ni wapi? Umbali gani kutoka barabara kuu?
 
Back
Top Bottom