Boss hiyo ni nyumba au boma ??weka picha za kutosha boss wangu.Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 30,000,000
View attachment 1363625.Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji
• kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo
.
Call/WhatApp: 0758851175
we unasema ni boma wakati ni nyumba imekamilika kabisa labda uombe bei ipungue maana imefika stage ya mwisho ya nyumba ona hilo bati afu nenda ulizia bei dukani, kama huna pesa jombaa kaa kwa password chaliiBoss hiyo ni nyumba au boma ??weka picha za kutosha boss wangu.
Morogoro Road ndiyo. Na pia Mbezi msakuzi ni maeneo gani kiujumla.Umbali wa kutoka morogoro road au ?
Upload google location kama unaweza.Kutoka morogoro road ni km 7, kutoka nyumba ilipo mpaka lami ilipo ni km 5,nyumba ipo karibu na rough road nayo ipo kwenye mpango wa kuwekewa lami