said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Jamani nimenunua kiwanja kikubwa tu lakini mm sijajenga na mama yangu hajajenga na hana kiwanja na karibu anastaafu sasa nilikuwa nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu nikaona baadaye itakuja kuleta shida maana nina dada wawili na mm wa kiume pekee yangu.
Nimeona nikijenga ya vyumba vitatu na mm nikirudi kusalimia nikija nafamilia yangu hawatatosha so nimeamua nianze kumjengea mama nyumba ya vyumba viwili kimoja maste na sebule na jiko kwa sababu yuko peke yake na kingine wakae hao dada zangu.
Maana washakua WAKUBWA ANY TIME WANAEZA WAKASEPA KUANZISHA FAMILIA zao maana mwenye dada hakosi shemeji KWA HARAKA HARAKA NYUMBA YA VYUMBA VIWILI NA SEBULE NA JIKO INAWEZEZA GHARIMU SH NGAPI?