dalalisaint
New Member
- Mar 30, 2021
- 2
- 2
Maelezo Zaidi: 0716442950
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa yangu anatafta chumba dable iwe kimara kama unajua mahali vipo nikuunganishe hata kama Ni nyumba yenye vyumba viwil seble na jiko,Nyumba ya Vyumba viwili, Pamoja na Sebule, na Choo cha Public.
Nyumba ipo Karibu kabisa na barabara ya Lami, nyumba ya pili kutoka lami.
Nyumba Ina:
Fensi, Maji ya dawasa, Umeme wa Luku yake, Parking.
Mahali: Mbezibeach Kwakomba
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Haina jiko, ila Kuna baraza unaweza Kupikia hapo.
Maelezo Zaidi: 0716442950View attachment 1791050View attachment 1791051View attachment 1791054View attachment 1791053View attachment 1791052