Nyumba ya Vyumba viwili, Pamoja na Sebule, na Choo cha Public.
Nyumba ipo Karibu kabisa na barabara ya Lami, nyumba ya pili kutoka lami.
Nyumba Ina:
Fensi, Maji ya dawasa, Umeme wa Luku yake, Parking.
Mahali: Mbezibeach Kwakomba
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Haina jiko, ila Kuna baraza unaweza Kupikia hapo.
Maelezo Zaidi: 0716442950
View attachment 1791050View attachment 1791051View attachment 1791054View attachment 1791053View attachment 1791052