Choo kipo kwa nje ila Nyumba IPO ndani ya fence inajitegemea mkuuNaona sebure na chumba vimeungana hapo picha ya pili.
Mbili: rangi ya vyumba zinatofautiana.
Tatu: umesema chumba kimona master. Je mtu anaelala chumba cha pili choo chake wapi. Hakuna choo cha public????
Muige dalali Tunzo namna ya kuweka matangazo, japo na yeye ana mapungufu yake kibao.
Choo kipo cha chumbani Na cha nje mkuuHiyo nyumba haina choo wala jiko?? Ina vyumba viwili na sebure tu. Unategemea watu wakakunye wapi??
.
Naona sebure na chumba vimeungana hapo picha ya pili.
Mbili: rangi ya vyumba zinatofautiana.
Tatu: umesema chumba kimona master. Je mtu anaelala chumba cha pili choo chake wapi. Hakuna choo cha public????
Muige dalali Tunzo namna ya kuweka matangazo, japo na yeye ana mapungufu yake kibao.
Unapanga mwandiko kumbe?
Kama kuandika tu vizuri kashindwa, Huyo atakuwa hajielewi na hapo patakuwa pa ajabu!Unapanga mwandiko kumbe?
Kama kuandika tu vizuri kashindwa, Huyo atakuwa hajielewi na hapo patakuwa pa ajabu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuandika tu vizuri kashindwa, Huyo atakuwa hajielewi na hapo patakuwa pa ajabu!
Sent using Jamii Forums mobile app
No ametoka kuhama MTU juzi tu KAWE ni potential areas watu wanakaa Na kuondoka
No ametoka kuhama MTU juzi tu KAWE ni potential areas watu wanakaa Na kuondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu punguza kidogo utauaMama Debora muache jamaa afanye biashara yake, kama haijakuvutia ww unapita tu! Hivi mpaka leo haujapata nyumba tangia mwaka jana mwezi wa nane?