House4Sale Nyumba ya zamani inauzwa Kigamboni

House4Sale Nyumba ya zamani inauzwa Kigamboni

mrico

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
173
Reaction score
97
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Km 1 kutoka ferry. Unaweza kufanya ukarabati ikatumika kwa kupangisha au hostel.
Vyuo kadhaa vipo jirani.
Bei : 35 M
0746 474849
 
Ukarabati utakula pesa nyingi zaidi ya kujenga

Just thinking! Kila la kheri mkuu
 
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Km 1 kutoka ferry. Unaweza kufanya ukarabati ikatumika kwa kupangisha au hostel.
Vyuo kadhaa vipo jirani.
Bei : 35 M
0746 474849

Kiwanja ukubwa gani?
Kina document gani?
Gari inafika kwanjani?
Iko maeneo gani?
 
Back
Top Bottom