Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoweza hayo ni wafanyabiashara wakubwa,viongozi wajuu wa serikalini na matajiri maana majumbani kwao wana wafanyakazi karibia wa5 ila siye mpaka usikie mgeni anakuja ndiyo unafagia uwanja na kufagia vyumbani na kutoa matandabui.watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi.
Hii hali kwako ikoje?
Uko tayari muda wowote?
Tupe uzoefu wako.