realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Oct 12, 2024 #1 watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi. Hii hali kwako ikoje? Uko tayari muda wowote? Tupe uzoefu wako.
watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi. Hii hali kwako ikoje? Uko tayari muda wowote? Tupe uzoefu wako.
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Oct 12, 2024 #2 Nini maana yako ya utayari kwanza!??
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 12, 2024 #3 realMamy said: watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi. Hii hali kwako ikoje? Uko tayari muda wowote? Tupe uzoefu wako. Click to expand... Wanaoweza hayo ni wafanyabiashara wakubwa,viongozi wajuu wa serikalini na matajiri maana majumbani kwao wana wafanyakazi karibia wa5 ila siye mpaka usikie mgeni anakuja ndiyo unafagia uwanja na kufagia vyumbani na kutoa matandabui.
realMamy said: watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi. Hii hali kwako ikoje? Uko tayari muda wowote? Tupe uzoefu wako. Click to expand... Wanaoweza hayo ni wafanyabiashara wakubwa,viongozi wajuu wa serikalini na matajiri maana majumbani kwao wana wafanyakazi karibia wa5 ila siye mpaka usikie mgeni anakuja ndiyo unafagia uwanja na kufagia vyumbani na kutoa matandabui.
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,143 Reaction score 4,462 Oct 12, 2024 #4 Muda wote naisafisha na naiweka perfume tayari kwa MGENI anayefuata.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Oct 12, 2024 #5 Nilikuwa nasafisha geto nikijua pisi yangu inakuja
Chujio JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 1,368 Reaction score 2,108 Oct 12, 2024 #6 Aje tu, anakuta atakachokuta. Huyo mgeni ni bwana afya anakagua mazingira? Afanye kilichomleta
A Ally ayubu Senior Member Joined Jan 6, 2024 Posts 188 Reaction score 104 Oct 14, 2024 #7 Wageni wengine wambea macho juu juu wee umeingia geto tulia