It's almost about 7M. Kwa haraka haraka niliwaza kuwauzia CRDB hili Deni ili nianze kukatwa kwenye mshara wangu. Nawaza kufanya hivi coz mshua Mambo Ni mabaya mno kwake
watasepa na mafao yako yote kufidia deni, vinginevyo ujiripue kabisa maana utakamatwa tu!Hivi mkuu nikikopa kwa kutumia mshahara wangu kisha nikaacha kazi ghafla huwa inakuaje?
Bank hawachukui hati inasoma jina la mtu mwingine huyu muongo. Pia kabla yakuuza Nmb walimpa notice ya siku 60 akazarau. Kapewa dalali akaleta nitice yasiku 7 wakazarau .wakatolewa kwenye gazeti wakazarauBaba yako Hawezi kukopea nyumba yako bila ww kujua ikiwa hivyo maana yake kuna jinai ndani yake unaweza kuwashtaki baba pamoja na nmb na ukapata mpunga wa maana sana..........
Apambane na hali yake tuuuBank hawachukui hati inasoma jina la mtu mwingine huyu muongo. Pia kabla yakuuza Nmb walimpa notice ya siku 60 akazarau. Kapewa dalali akaleta nitice yasiku 7 wakazarau .wakatolewa kwenye gazeti wakazarau
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe haya yooote huwa yanafanyika?? Sikuwa nafahamuBank hawachukui hati inasoma jina la mtu mwingine huyu muongo. Pia kabla yakuuza Nmb walimpa notice ya siku 60 akazarau. Kapewa dalali akaleta nitice yasiku 7 wakazarau .wakatolewa kwenye gazeti wakazarau
Sent using Jamii Forums mobile app