House4Sale Nyumba yenye hati miliki inauzwa bei poa sana

Marco Z

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
30
Reaction score
27
Sifa za nyumba:

[emoji768] Ina vyumba 4 vya kulala
[emoji768] sitting & dining room
[emoji768] Jiko ndani na nje
[emoji768] Kisima cha maji na tank la maji
[emoji768] Fensi na parking ya gari
[emoji768] miti na maua ya kutosha
[emoji768] Mazingira yake ni tulivu sana na upepo mzuri.
[emoji768] Ina hati miliki
[emoji768] Nyumba iko Chamazi.
[emoji768] Bei milioni 65. (65,000,000)

NB: Nyumba haina migogoro yoyote, sababu ya kuuzwa ni shida binafsi na magonjwa. Ndio bei yake iko nafuu sana ili mteja apatikane kwa haraka. Karibuni sana.
 
Haya ngoja wenye hela waje ila ninapenda kufahamu kwa kuwa ina hati unaweza kutuambia kama kiwanja kina ukubwa wa sqm ngapi? Je ni aina ipi ya jati? Leseni makazi au hati kamili? Mmiliki anapatikana wapi DSM? Je gari ngapi zinaweza kupaki ndani? Nyumba haina mkopo bank i.e dhamana? Anyway kwa upande wa dhamana inabidi mnunuzi aende ardhi kufanya verification ya hati hiyo!!!
 
Nyumba ina hati kamili, ukubwa wa kiwanja square meter 800, haina mkopo benki
 
Nyumba ina hati kamili, ukubwa wa kiwanja square meter 800, haina mkopo benki
Sq 800 ni kubwa mkuu sasa mbona hapo nyumba imejaza eneo lote imekuwaje? Unajua sq 800 ni sawa 40 kwa 20 au hata upande mmoja kuwa mdogo kidogo but mwingne unabeba.
 
Piga picha vizuri wewe, unataka mil.65 kirahisi hivyo hata kuipiga nyumba picha vizuri ili umshawishi mteja unashindwa?
 
Sq 800 ni kubwa mkuu sasa mbona hapo nyumba imejaza eneo lote imekuwaje? Unajua sq 800 ni sawa 40 kwa 20 au hata upande mmoja kuwa mdogo kidogo but mwingne unabeba.
Hapo kuna geti mbili katika fensi moja nilichoka kutoa maelezo marefu, nyumba zipo mbili ila hii ya kwanza unapoingia ni mabanda tu ya vyumba2 na sehemu ya kupumzikia, na fremu ya biashara.

Zogwale, kuna nyumba 2 katika fensi moja, iliyoona ni nyumba moja tu. Unapoingia ndani geti la kwanza kuna banda la vyumba 2 na sehemu ya kupumzikia na maua miti, fremu ya biashara n.k geti la pili ndio kuna
nyumba hiyo iliyoona, hivyo ni kubwa nilichoka kutoa maelezo yote
 
Uwezo wa parking ya gari zaidi ya 5 tukiondoa maua na miti mingine ndani, mmiliki yupo na anaishi hapo hapo
 
Uwezo wa parking ya gari zaidi ya 5 tukiondoa maua na miti mingine ndani, mmiliki yupo na anaishi hapo hapo
Kwa hiyo anauza nyumba zote au ni hiyo moja tuu. Hebu eleza mkuuu.
 
Na mabanda kila kitu anauza anaondoka au atabaki hapo? @ Mwenyenyumba?
 
Naomba kujua gharama za kupata hati ya kiwanja\nyumba!! Plzzzz
 
aisee kila la kheri wenye pesa changamkieni dili bomba hilo
 
Nyumba iko vizuri na bei sio mbaya. Kujenga sio mchezo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…