Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hahahahaha umenifurahishaWewe si ndio ulikua ukilalamika kukabwa usiku???
Haina uhusiano na hiyo Nyumba???
Isije ikawa masuala ya kusakiziana vimeo
Wewe si ndio ulikua ukilalamika kukabwa usiku??? Haina uhusiano na hiyo Nyumba??? Isije ikawa masuala ya kusakiziana vimeo[/QU masuala ya kukabwa yalikua ni yangu na sio nyumba
Ok, Lakini yalikua yakikutokea wakati unaishi kwa hiyo Nyumba?[/QU hapana ndugu
mh! mimi najua nyumba nyingi zinaanzia pande nne na kuendelea sasa hiyo ya pande MBILI mh! Inatia shaka maana na nembo ya freemasons au majini ina pande mbili[/QUmambo ya majin yamekujaje kwenye nyumba tuache mambo ya kuhis
Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande wa pili una vyumba (4) dabo. nyumba ipo katika hali nzuri. bei milion 70 NB.NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WA KIFAMILIA NK. KWA ANAYEHITAJI ANI PM KWA MAELEZO ZAID.
Huko matejoo kuna mateja sana nini mkuu? Isije ikawa location sio hii.[/QU sio matejoo ile ya ndani ni karibu na seven up upande wa kusini