Nyumba yenye title deed inauzwa Kigamboni Mikadi Beach

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Wakuu nawaletea habari njema. Nyumba yenye title deed ikiwa na eneo la ukubwa wa square meters 645 inauzwa Kigamboni eneo la Mikadi Beach, Mita 200 kutoka lango la Mikadi beach.
Nyumba hiyo ina Master bedroom 1, vyumba vya kawaida 3 vya kulala, vyoo viwili vya ndani, Dining room, sebule, jiko, parking ya magari 4, fenced compound, maji ya dawasco, eneo kubwa kwa nyuma, Tower ya kuwekea Simtank kwa ajili ya reserve ya maji, na iko kando ya barabara kubwa ya ndani.
Eneo ilipo ni tulivu na la kistaarabu.
Bei T.sh 100,000,000 negotiable. Alie interested, karibu PM na Madalali mnakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…