muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Hivi eti kuna sheria yoyote inayokataza nyumba za kulala wageni (guest au hotel) kuwapa chumba wageni wawili wa jinsia moja?
Kwa mfano dada wawili wanataka chumba kimoja cha single? Au wanaume wawili wanataka chumba kimoja single.
Kama kuna sheria hiyo , je hiyo sheria inasemaje?