Nyumba za kulala wageni

muheza2007

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Posts
483
Reaction score
771
Hivi eti kuna sheria yoyote inayokataza nyumba za kulala wageni (guest au hotel) kuwapa chumba wageni wawili wa jinsia moja?

Kwa mfano dada wawili wanataka chumba kimoja cha single? Au wanaume wawili wanataka chumba kimoja single.

Kama kuna sheria hiyo , je hiyo sheria inasemaje?
 
Ngoja tusubiri jibu kwa wanaojua
 
Uk
Ukiachilia mbali kuwepo sheria exppresly ama la, kimsingi uhusiano kati ya mpangaji chumba na mpangishaji ni wa kimkataba hivyo, mpangishaji anaweza weka vigezo na masharti alimradi havikiuki sheria.

Zaidi ya hapo, nionavyo lengo la vigezo na masharti hayo ni ku discourage kile kinachoweza dhaniwa uhusiano wa kingono kwa jinsia moja na kama ni hivyo, jambo hilo sahihi na linakwenda sambamba na sheria inayokataza aina hiyo ya mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…