House4Rent Nyumba za Kupanga - Dar es Salaam

House4Rent Nyumba za Kupanga - Dar es Salaam

Joined
Sep 25, 2016
Posts
76
Reaction score
20
1. Apatiment- Kunduchi Beach
Ina Vyumba 2 Kimoja Kina Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo cha Kuchangia.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Luku yake .
Inapangishwa Kwa Tsh 350,000 Kwa Mwezi Mmoja, inatakiwa Kodi ya Miezi 6.

IMG_20190107_153056_252.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
2. Apatiment- Mbezi Beach Shule
Ina Chumba Kimoja Chenye Choo, Sebule, na Jiko.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Parking ya Gari na Luku yake.
Inapangishwa Tshs 250,000/Mwezi, Inatakiwa Kodi ya Miezi 6.
IMG_20190107_154555_713.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
3. Apatimenti - Mbezi Beach

Ina Vyumba 2 Kimoja kina Choo chake, Sebule, Choo cha Kuchangia na Jiko. Pia Ina Maji ya dawasco, Luku yake, Parking ya Gari na Fensi.

Inapangishwa Tshs 400,000/Mwezi, Inatakiwa Kodi ya Miezi 6.

IMG_20190107_154626_388.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
4. Apatiment- Mbezi Beach Chini

Ina Chumba Kimoja, Choo cha Kuchangia ndani, Sebule, na Jiko.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Parking ya Gari na Luku yake.

Inapangishwa Tshs 320,000/Mwezi, Inatakiwa Kodi ya Miezi 6.

IMG_20190107_155826_268.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
5. Apatimenti Mpya - Sinza
Ina Vyumba2, Choo Cha Kuchangia ndani, Sebule, na Jiko.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Parking ya Gari na Luku yake.
Inapangishwa Tshs 500,000/Mwezi, Inatakiwa Kodi ya Mwaka.

IMG-20190108-WA0000.jpeg
IMG-20190108-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
6. Apatimenti - Mbezi Beach Chini

Ina Chumba 1 chenye Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo Cha Kushea.

Ina Fensi, Maji ya Dawasco, Parking ya Gari na Luku yake.

Kodi Tshs 350,000/Mwe

IMG_20190108_193318_682.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
7. Apatimenti - Kinondoni Ananasifu

Ina Vyumba2 Kimoja Kina Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo Cha Kuchangia ndani.

Ina Fensi, Maji ya Dawasco, Parking ya Gari na Luku yake.

Kodi Tshs 400,000/Mwezi
IMG_20190109_211659_393.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
8. Apatimenti - 2Beds mbezibeach
Zina Furniture ndani.
Ina Vyumba2 Kimoja Kina Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo Cha Kuchangia.
Ina Parking, Ac, Maji dawasco ( Ulipii, Imejumuishwa Kwenye Pango), Walinzi Wapo.
Kodi USD 500




IMG_20190108_224304_646.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom