dalali Mwanafunzi
Member
- Sep 25, 2016
- 76
- 20
Nyumba yenye Chumba, Choo ndani, Sebule na Jiko anaweza Kupata. Yeye anataka ya namna gani?Mkuu kuna jamaa yangu anahitaji nyumba kwa Tabata lakini na isizidi 200k kwa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyumba viwili vya kulala choo cha ndan jiko na sebuleNyumba yenye Chumba, Choo ndani, Sebule na Jiko anaweza Kupata. Yeye anataka ya namna gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo boss nitaanza Kuzileta Soon.Sisi wa 10,000 zetu ume tutenga.
Njoo nikupe tandika sokoni. Magari ya kila sehem yanapatikana. Apartment 2bedroom zote masta na sebule umeme wako, maji hadi bafuni bomba LA juu. Kwa 150k kwa mwezi miezi sita maongezi kwenye miez yapo