Nyumba za kupanga ni kero tupu

Aunt Cash

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
88
Reaction score
97
[emoji38][emoji38]kama wewe hauna mke harafu ume panga nyumba zisizo na dari (cellingboard) daah hivi usiku hua mnalalaje?

Kuna jamaa Alikua na mke ila yeye Alikua akipiga viwili chali ana tulia na mkewe wanaanza kusikiliza makelele vyumba vya wenzao. ikafika hatua wakaanza kununiana na mkewe mkewe anaona wivu kwann yeye dk mbili tu wenzake wana pelekwa moto.

Jamaa akaja kwangu kuniomba ushauri maana walifikishan pabaya na mkewe Mm nika mshauri jamaa dawa fulani[emoji533].

Daah kwa sasa jamaa ame kua kero humu ndani yaan wapangaji wote tuna baki macho usiku kucha iki fika saa 6 usiku miguno na makelele na kitanda sa 2 miguno mchana kama una wageni lazma mkae njee miguno mpk najuta kumfundsha Ile dawa[emoji38][emoji38][emoji2303]
 

Aunt Cash wewe ni me au ke???????​

 
Aise mo au bakhresa wakupe ajira kitengo cha masoko
 
Nilisoma juu tu nikaacha ili nisome comments naona kila mtu anasema ni tangazo ikabidi nirudi juu niisome aisee kweli ni bonge la tangazo
 
Utawapata wanaume wala Chipsi huko DAR kwenu sisi wengine tunakamua mbususu hadi mavyuzii yanyonyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…