buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Kiwanja kipo king’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi, sio mbali na kwa dr ndodi, kiwanja, umeme na maji vipo hapo hapo, bajaji kwenda mbezi ni buku, pikipiki zipo, magari ya kukatiza route kutoka mbezi ni mia tano,
Eneo lina ukubwa wa hatua 23 kwa 20
Bei million 7.800,000/=
Pazuri sana piga simu 0693300971
Nimeambatanisha picha
Eneo lina ukubwa wa hatua 23 kwa 20
Bei million 7.800,000/=
Pazuri sana piga simu 0693300971
Nimeambatanisha picha