Plot4Sale Nyumba za kupanga zinaumiza nauza kiwanja king’azi, Dar es salaam, no udalali pia kimepimwa

buffaro89

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
592
Reaction score
378
Kiwanja kipo king’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi, sio mbali na kwa dr ndodi, kiwanja, umeme na maji vipo hapo hapo, bajaji kwenda mbezi ni buku, pikipiki zipo, magari ya kukatiza route kutoka mbezi ni mia tano,

Eneo lina ukubwa wa hatua 23 kwa 20
Bei million 7.800,000/=
Pazuri sana piga simu 0693300971
Nimeambatanisha picha



 
Hela shida ila kiwanja kinaonekana kizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…