Habari za humu wakuu,Kumekuwa na story za nyumba za Lugumi zikivuma kabla na baada ya mnada zaidi ya week sasa.Naomba nijuzwe huyo Lugumi ni nani? na nini kilichopelekea nyumba zake kupigwa mnada?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.