454 Senior Member Joined Apr 23, 2017 Posts 136 Reaction score 193 Nov 23, 2017 #1 Habari za humu wakuu,Kumekuwa na story za nyumba za Lugumi zikivuma kabla na baada ya mnada zaidi ya week sasa.Naomba nijuzwe huyo Lugumi ni nani? na nini kilichopelekea nyumba zake kupigwa mnada?
Habari za humu wakuu,Kumekuwa na story za nyumba za Lugumi zikivuma kabla na baada ya mnada zaidi ya week sasa.Naomba nijuzwe huyo Lugumi ni nani? na nini kilichopelekea nyumba zake kupigwa mnada?
Elgibo JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 1,067 Reaction score 1,518 Nov 23, 2017 #2 Kinachovuma zaidi ni 900 itapendeza..by Dr. Lous