acleyfrancis
Member
- Jan 31, 2017
- 33
- 44
- Thread starter
-
- #21
Soko la "real estate" Tanzania bado sana, kupata nyumba NHC kama ni mtanzania wa kawaida ni ngumu sana kwasababu wenye pesa wanakabia kwa pesa. na wanaojenga ni wa aina hiyo hiyo
kila anaejenga Tanzania analenga matajiri ila mapinduzi ya real estate yanahitajika Tanzania. kila anaejenga anawaza mamilion
Nipe hawa watu wa kuongea nao kaka
Unahitaji hizo nyumba?Na kwa Arusha Je?
Kabisa lo
Nyie mna matatizo mnajua?Kabisa lo
Ndio MkuuUnahitaji hizo nyumba?
Ndio Mk
Hamna neno karibu.Ndio Mkuu
Nipe Muongozo MkuuHamna neno karibu.