nimechafukwa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 288 Reaction score 230 Feb 22, 2015 #1 Habari wakuu, Hivi wakuu hizi nyumba wanauzaga shilingi ngapi?...tu assume self ya vyumba vitatu
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 492 Reaction score 357 Feb 24, 2015 #2 Kimya ! Hakuna anaye jua?
J JML Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22 Reaction score 2 Mar 2, 2015 #3 Tembelea ofisi zao, nyumba zipo na kwa bei tofauti kulingana na aina na mahali ilipo. Usiogope tena kama wewe ni mtumishi wa uma - mwajiriwa serikalini utakua na fursa nzuri sana ila ondoa woga. Ingia ofisini, keti fanya nao biashara.
Tembelea ofisi zao, nyumba zipo na kwa bei tofauti kulingana na aina na mahali ilipo. Usiogope tena kama wewe ni mtumishi wa uma - mwajiriwa serikalini utakua na fursa nzuri sana ila ondoa woga. Ingia ofisini, keti fanya nao biashara.