B U Z AMitaa ya Kwamtogole au Bhuza utakuta nyumba zenye finishing mtaa mzima zinahesabika.
NakubaliNyumba nyingi za mjini ni za urithi ndy maana zipo hivyo.
Hakuna mtu mwenye nguvu ya kurekebisha nyumba ya urithi uswahilini.
Kama nyumba umeijenga kwa jasho lako huwezi kukubali ikawa ya hovyo.
Labda uwe pesa huna.
Kama tu nyumba ikiwa haijaisha tayari mamlaka za serikali zinaanza kuleta invoice za kodi ya jengo unategemea nini, maana ukipiga bati tu na kuweka grill na ukaweka mtu aishi kwa usalama wa nyumba serikali inakuja kudai kodi ya jengo badala ya kujiridhisha kwamba jengo limeisha ndio udai kodi ya jengo.Sina uhakika kama Tanzania kuna sheria ya ujenzi inayolazimisha nyumba za eneo fulani ziwe na muonekano fulani...
Kama sheria hiyo ipo basi haisimamiwi kabisa...
🤣🤣🤣🤣kama hutaki za 80k nenda kalipe za 300k makumbusho zina finishing.Kinachofurahisha mijini ni kuwa nyumba za nyasi na matope zinapotea au kumalizika kabisa. Kila mjengaji hujitahidi kutumia matofali ya saruji, madirisha yanayoingiza hewa.
Tatizo ni kuwa nyumba zetu nyingi huku Uswaz hazifanyiwi finishing na wakazi wanaishi bila matatizo.
Mitaa ya Kwamtogole au Bhuza utakuta nyumba zenye finishing mtaa mzima zinahesabika.
Wengine wakuambia chumba self utalipa 80,000. Ukifika chumba self hakuna mlango kati ya chumba na choo, choo hakina seat ya kukalia na mwenye nyumba haoni kasoro.